Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Friday, February 6, 2015

MHE. DKT PINDI CHANA AZINDUA SEMINA YA KUDUMISHA AMANI NA KUKOMESHA VITENDO VYA UKATILI ROLYA, MARA

Mhe. Dkt Pindi Chana (Mb.)  akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Semina kuhusu Masuala ya Ukeketaji na kudumisha Amani, Rolya Mara
Mhe. Dkt Pindi Chana (Mb.)  akiwa na Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Rolya, wakati wa Ufunguzi wa Semina kuhusu Masuala ya Ukeketaji na kudumisha Amani, Rolya Mara

Mhe. Dkt Pindi Chana (Mb.)  akiwa na viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Mara na Wilaya ya Rolya, wakati wa Ufunguzi wa Semina kuhusu Masuala ya Ukeketaji na kudumisha Amani, Rolya Mara
Mhe. Dkt Pindi Chana akiwa katika picha ya Pamoja na Watumishi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Buhare, Musoma


MheshimiwaDkt.PindiChana (Mb.) NaibuWaziriwaMaendeleoyaJamii,
Jinsia na Watoto alifunguarasmi  seminamaalumkuhusumasualayakukomeshavitendovyaUkatilinakudumishaAmaniMkoani Mara. Seminahiyoiliyoandaliwanakanisa la Anglikana Tanzania DayosisiyaRorya ,Kanisakuu Mt. Petro Kowak, kata yaNyathorogo.

WakatiwaufunguziwaSeminahiyoMheshimiwaNaibuWazirialiwasihiwadaumbalimbaliwamaendeleoyaJinsiakutekelezakwavitendokauliMbiuSikuyaMtotowa Kike Duniani, inayosema "MaishaYangu,HakiYangu,Piga Vita NdoazaUtotoni"

AlielezakuwaSuala la ndoazautotoninaukeketajilinatiadosari
kubwakatikaharakatizakumkomboamtotowa kike kwa vile taifa
linahitaji  mchango  wakilamwananchi  ili kufikia malengo yake ya
kujiletea  maendeleo  sambamba na utekelezaji wa Malengo ya Mpango wa
Taifa  wa  Kukuza  Uchumi  na  Kupunguza  Umaskini( MKUKUTA), Dira ya
Maendeleo  yaTaifa 2025 na Malengo ya Milenia, hivyo ndoa za utotoni
na ukeketaji zinapaswa  kupigwa vita kwanguvu zote na jamii yote.

Aidha, akiwa Mkoani Mara, Mheshimiwa Dkt.Pindi Chana (Mb.)alitembelea Chuo cha MaendeleoyaJamii Buhare, Musoma.


No comments:

Post a Comment