WACHUNGAJI WA KKKT WAKIELEKEA UKUMBI WA SHULE YA OSP RUHUJI SEKONDARI SIKU YA UZINDUZI
WAIMBAJI WA KWAYA MBALIMBALI
HAWA NI WANAFUNZI WA OSP RUHUJI
WANAMATALUMBETA WAKITUMBWIZA
KATIBU MKUU WA DAYOSISI YA KUSINI AKISOMA TAARIFA YA MAENDELEO YA SHULE ZA DAYOSISI ZILIZOPO
MWENYESUTI NI MKUU WA SHULE YA OSP RUHUJI PETRO KILIMA AKIJIANDAA KUSOMA TAARIFA NA NAMNA YA KUTATUA BAADHI YA CHANGAMOTO ZILIZOPO
ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA KUSINI ISSAYA JAPHET MENGELE KABLA YA KUZINDUA SHULE HIYO
HILI NI JENGO LA UTAWALA LA SHULE HIYO
ASKOFU MENGELE YUPO KUFANYA TENDO LA UZINDUZI WA SHULE HIYO
HUYU NI MMILIKI WA NSHULE YA OSP RUHUJI AMBAYE AMEIACHIA SEMINA YA KIDUGALA IENDESHE SHULE HIYO HUKU MMILIKI AKIBAKIA YEYE MWENYEWE BAROZI MSTAAFU GODEN NGILANGWA AKIWA NA MKEWE WAKIWA NDANI YA OFISI YA MKUU WA SHULE WAKATI ZOEZI LA UZINDUZI LIKIENDELEA NA ASKOFU HUYO
WACHUNGAJI NA ASKOFU WANAIOMBEA SHULE HIYO NA MMILIKI WA SHULE GODEN NGILANGWA
MCHUNGAJI EMMANUEL MSELELA BAADA YA ZOEZI LA UZINDUZI KUKAMILIKA
MSAFARA WA WACHUNGAJI WAKIELEKEA OFISINI KUBADILISHA MAVAZI
HABARI ITAKUJIA.....
No comments:
Post a Comment