Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Sunday, October 12, 2014

PICHA ZA BASI LA HAPPY NATION LILILOPATA AJALI HEDARU KWA KUGONGANA NA GARI DOGO





 
 Na Eddy Blog
Kuna ajali imetokea muda mchache uliopita eneo la HEDARU mkoani kilimanjaro ambapo gari ndogo limezama chini ya basi la kampuni ya HAPPY NATION kama unavyoona hapo kwenye picha

Inadaiwa watu wote waliokuwa kwenye gari dogo wamepoteza maisha ingawa bado haijathibitishwa rasmi na vyombo husika

Kwa mujibu wa mdau wa mtandao huu amesema polisi wameshafika eneo la tukio kuendelea na taratibu zao na taarifa zaidi utaendelea kuzipata hapa hapa

No comments:

Post a Comment