Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, October 16, 2014

MBUNGE JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI AMBAYE NI NAIBU WAZIRI UJENZI GERSON HOSEA MALANGALILA LWENGE YUPO ZIARA YA SIKU 14 JIMBONI KWAKE.

 MBUNGE WA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI AMBAYE PIA NI NAIBU WAZIRI WA UJENZI MHANDIS GERSON HOSEA MALANGALILA LWENGE AKIPOKEA TAARIFA YA KATA YA SAJA ALIPOTEMBELEA.
 

 SHULE YA SEKONDARI WANGING'OMBE MKOANI NJOMBE KUANZISHWA MADARASA YA KIDATO CHA TANO NA CHA SITA MWAKANI


 MIUNDOMBINU YA BARABARA KUTENGEWA BAJETI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA WA FEDHA 2014 /2015.

 BAADHI YA WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI ILEMBURA WAKIULIZA MASWALI KUHUSU UCHAKAVU WA MADARASA NA NYUMBA ZA WALIMU







Na Michael Ngilangwa-Njombe

Serikali Imetenga Shilingi Milion Thelathin Kwaajili Ya Kukarabati Mradi Wa Maji Toka

Mafinga Wilayani Mufindi Mkoani Iringa Hadi Igawa Wilayani Wanging'ombe Mkoani

Njombe unaotoka kwenye chanzo cha mto Mbukwa.

Hayo Yamesemwa Na Mbunge Wa Jimbo La Njombe Magharibi Ambaye Ni Naibu Waziri

Wa Ujenzi Gereson Rwenge Wakati Akizungumza Na Walimu Na Wananchi Wa Vjj Vya

Kata Za Saja,Wanging'ombe Na Ilembula Kutatua Tatizo La Maji Kwa Baadh Ya Vjj Na

Shule.

Akizungumza Akiwa Ktk Shule Ya Sekondari Saja Gereson Rwenge Amesema Wakati Wa

Ziara  Rais Aliagiza Kuchimbwa Visima Kwa Taasisi Kama Shule Na Hivyo Wakati Jitihada

Za Kukarabati Mradi Wa Maji Toka Mafinga Kwenda Wanging'ombe Shule Ya Sekondari

Saja Itachimbiwa Kisima Cha Maji Ili Kutatua Tatizo Hilo Kwa Wakati Huu.

Hata Hivyo Mbunge Rwenge Ameagiza Halmashauri Kupitia Wataalam Wa Ardhi Kwenda

Kupima Mipaka Ya Ardhi Ili Kutatua Mgogoro Uliopo Kati Ya Shule Ya Sekondari Saji Na

Kijij.

Afisa Elimu Wanging'ombe Bi. Loyce Mgonja Ametaka Wananchi Kuongeza Jitihada Za

Kujenga Maabara Tatu Na Kushirikiana Na Walimu Kuweka Mikakati Dhidi Ya Wanafunzi

Wanaotoroka Na Kuwachukulia Hatua Za Kisheria Wanaohusika Kutorosha Watoto

Wasisome.

Mkuu Wa Shule Ya Sekondari Saja Bwana Agen Mdenye Katika Taarifa Yake Kwa Mbunge

Amema Shule Hiyo Inakabiliwa Na Changamoto Mbalimbali Ikiwemo Tatizo La Maji Na

Utoro Wa Wanafunzi Linalojitokeza Kwa Shule Nyingi Wilayan Wanging'ombe.

Ziara Ya Mbunge Wa Jimbo La Njombe Maghalibi Ya Siku 14 Imelenga Kutembelea Shule

Za Sekondari Kuangalia Changamoto Zinazozikabili Shule Hizo Ambapo Katika Kuunga

Mkono Jitihada Za Wananchi Ametoa Msada Wa Vitabu  122 Vya Masomo Mbalimbali

Vikiwemo Vya  Sayansi Na Shilingi Milion Sita Kwa Shule Tatu Za Sekondari

Alizotembelea Leo.

No comments:

Post a Comment