AJALI MBAYA YAUWA MMOJA NA MAJERUHI SITA KIJIJI CHA MFEREKE KATA YA UTARINGOLO MKOANI NJOMBE
TUKIO HILO LIMETOKEA JUMAMOSI SAA MOJA USIKU WAKATI GARI HILO AINA YA HICE LIKIELEKEA UKUMBI WA UTARINGOLO KWAAJILI YA KUADHIMISHA SHEREHE ZA JUBILEI YA KUTIMIZA MIAKA 25 YA NDOA NA KUUA MTU MMOJA FILBET NGOLE
No comments:
Post a Comment