Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akifungua kongamano la Uwekezaji Nyanda za Juu kusini na kuendesha kongamano katika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya |
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Mark Mwandosya
akizungumza katika kongamano hilo juu ya wakekezaji wadogowadogo
|
Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Mary
Nagu akimkaribisha waziri mkuu Mizengo Pinda kufungua kongamano la uwekezaji Nyanda za juu kusini
|
Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akisoma taarifa fupi ya uwekezaji wa mkoa wa Mbeya |
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma akisoma taarifa fupi ya mkoa wa Iringa juu ya uwekezaji
|
Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akisoma taarifa ya uwekezaji mkoa wa Njombe
|
Wakuu wa wilaya katika semina hiyo |
Wawekezaji toka mikoa Mbalimbali hapa nchini wamehuduria kongamano hilo |
Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment