Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Friday, August 8, 2014

NANE NANE MBEYA NA SHANGWE YA MAZIWA BORA YA ASASI DAIRIES ,NYANI AWA KIVUTIO


Banda  la maziwa  ya Asasi  lililopo jirani na Halmashauri ya Iringa
Nyani wa maonyesho kutoka Magic Site Iringa akifurahia maziwa  bora ya Asas katika maonyesho ya nane nane Mbeya leo
Diwani  Rita Mlagala  akifurahia maziwa ya Asas Dairies  leo mjini Mbeya  wengi  wanakimbilia  kuonja obora wa maziwa haya ambayo ndio maziwa  bora  Tanzania  nzima
Wananchi  wakiwa  wamefurika katika banda ya maziwa ya Asas mjini Mbeya katika maonyesho ya nane nane

No comments:

Post a Comment