Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, June 12, 2014

WANANCHI JOSHONI WASOMEWA TAARIFA ZA HESABU ZA MAPATO NA MATUMIZI


 WANANCHI WA MTAA WA JOSHONI WAKIWA KWENYE MKUTANO WA KUSOMEWA TAARIFA YA HESABU ZA MAPATO NA MATUMIZI
 DIWANI WA KATA YA MJIMWEMA JIMMY NGUMBUKE AKIPEANA MAWAZO NA VIONGOZI WA MTAA HUO WA UPANDE WA KULIA NI AFISA MTENDAJI WA MTAA HUO ISABELA MALANGALILA,WA PILI KUTOKA KULIA NI DIWANI WA KATA YA MJIMWEMA NA WA TATU NI MWENYEKITI WA MTAA WA JOSHONI ALPHAN NGURO
 MWENYEKITI WA MTAA WA JOSHONI ALPHAN NGURO AKIFUNGUO MKUTANO



 WAJUMBE WA SERIKALI YA MTAA WA MTAA WA JOSHONI
 DIWANI WA KATA YA MJIMWEMA JIMMY NGUMBUKE AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MTAA WA JOSHONI


 AFISA MTENDAJI WA MTAA WA JOSHONI ISABELA MALANGALILA AKISOMA TAARIFA YA HESABU ZA MAPATO NA MATUMIZI KWA WANANCHI


No comments:

Post a Comment