Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Monday, June 23, 2014

RAIS KIKWETE APEWA TUZO YA UONGOZI BORA NCHINI


 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana
Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa
kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na
uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika
ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius
Nyerere(JNICC) jijini Dar es
Salaam leo jioni.


Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi
sita ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU,,Mamlaka ya
Udhibiti na Ununuzi wa Umma,Mamlaka ya udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya
jamii,Mkaguzi wa ndani Mkuu wa Serikali,na Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa umma (picha na FreddyMaro).

No comments:

Post a Comment