Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda
kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi
Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es
salaam leo Juni 9, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho
Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga
jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Kulia ni Bw. Mahmoud Saidi,
Mtoto wa Marehemu “Mzee Small”.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakifariji wafiwa
wakati walipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu
vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu
Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014
Mama
Salma Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Smal”l
wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu za
vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam
leo Juni 9, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba
“Mzee Small wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa
filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es
salaam leo Juni 9, 2014 .PICHA NA IKULU
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa
Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” wakati alipokwenda kuhani msiba wa
msanii huyo maarufu wa filamu vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata
Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014
No comments:
Post a Comment