Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Sunday, June 29, 2014

MWENGE WA UHURU WAANZA KUKIMBIZWA WILAYANI WANGING'OMBE BAADA YA KUHITIMISHA MBIO ZAKE WILAYANI NJOMBE

MKUU WA MKOA WA NJOMBE AKIKABIDHIWA MWENGE NA MKUU WA MKOA WA IRINGA DK CHRISTINE ISHENGOMA
MKUU WA MKOA WA IRINGA WA KWANZA KUSHOTO, KATIBU TAWALA WA PILI KUSHOTO NA WAKUU WA WILAYA WAKISAKATA LUMBA KABLA YA KUKABIDHI MWENGE
VIONGOZI MBALI MBALI WA CHAMA NA SERIKALI WAKIENDELEA KUSAKATA LUMBA WILAYANI MUFINDI
MBUNGE WA MUFINDI KUSINI, MENRAD KIGOLA MWENYE SUTI NYEUSI HAKUWA NYUMA
 KAZI  IMEPAMBA MOTO..MWENGE HUO....

MKUU WA WILAYA YA MUFINDI AKITAZAMA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE ALIVYOKUWA AKIPOKEA TAARIFA YA KLABU YA WAPINGA RUSHWA KINYANAMBO SEKONDARI
 
JIMSONI MHAGAMA, KATIBU MSAIDIZI WA CCM MKOA WA IRINGA AKIWA AMEUSHIKA MWENGE WA UHURU. HA HA HAAA NAYE HAKUWA MBALI NA TUKIO HILO MUHIMU KWA MAENDELEO YA IRINGA......


 DC WA KILLOLO, MRATIBU WA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI DAUDI YASINI NA MKUU WA WILAYA YA MUFINDI, EVARISTA KALALU HAWAKUWA MBALI, WAKIFURAHIA KUMALIZIKA MKWA MBIO ZA MWENGE MKOANI IRINGA
 MATUKIO YOTE NA FRANK KIBIKI 
 
MWENGE WA UHURU UMEMALIZA MBIO ZAKE MKOANI IRINGA NA KUANZA MKOANI NJOMBE AMBAKO MIRADI YENYE THAMANI YA SH BILIONI SITA ITAZINDULIWA.
 
UKIWA MKOANI IRINGA MWENGE HUO UMEZINDUA  MIRADI ZAIDI YA  47 YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SH BILIONI TATU.
 
Aidha Hapo Jana Mwenge Huo Umeanza Rasmi Kukimbizwa Mkoani Njombe na Halmashauri za Mji wa Makambako na Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Zimekimbiza Mwenge Huo na Leo Umekabidhiwa Katika Wilaya ya Wanging'ombe.
 
Katika Wilaya ya Wanging'ombe Utakagua,Kuzindua na Kuweka Mawe ya Msingi Kwenye Miradi Tisa Yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 2.8 Kabla ya Kuukabidhi Katika Wilaya ya Makete Hapo Juni 30 Kesho Mpakani Mwa Wilaya Hizo Katika Kijiji Cha Kimani. 

PICHA HIZO JUU NI ZA Makabidhiano Kati ya Mkoa wa Iringa na Njombe Huko Idofi.

No comments:

Post a Comment