AJALI YA PIKIPIKI NA GARI YATOKEA ENEO LA SANGAMELA MJINI NJOMBE LEO
HAWA NI MASHUHUDA WA AJALI HIYO NA MAJERUHI WA PIKIPIKI AMEPELEKWA KITUO CHA AFYA AGRIKANA NA HALI YAKE INAENDELEA VIZURI ANADAI AMEPATWA NA MAUMIVU KIDO KWENYE MGUU WAKE WA KUSHOTO NA SASA AMEKWENDA KUENDELEA NA KAZI ZAKE OFISINI KWAKE SABASABA
No comments:
Post a Comment