MAZISHI YAMEFANYIKA KIJIJINI KWAKE LUSITU YALIOFANYIKA MEI 25 MWAKA HUU NA KUHUDHURIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA
Deo Sanga ambaye ni Mbunge na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe,Adam Ismail
Msigwa (pichani) ambaye alijukana kwa jina maarufu kama 'Shilingi ni
Vita' amefariki nyumbani katika Mitaa wa Kwivaha Njombe mjini na
mazishi yalifanyika katika kijiji cha lisitu.
Mkuu
wa mkoa wa Njombe Cept. mstaafu Aseri Msangi (kushoto ) wa pili ni
Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw Saitabau na wa mwisho (kulia) ni
Kamanda wa polisi mkoa SACP Ngonyani.
"MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI"
'AMINA'
PICHA ZOTE NA PROSPER MFUGALE.
No comments:
Post a Comment