Friday, April 25, 2014
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO DKT PINDI HAZARA CHANA ASHEHEKEA SIKUKUU YA PASAKA KWA KUTEMBELEA WAGONJWA NA WATOTO YATIMA NA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MANISPAA YA IRINGA
HAPA NAIBU WAZIRI DKT CHANA ALIKUWA KUTEMBELEA VIKUNDI VYA WAJASILIAMALI WILAYANI LUDEWA MWANZONI MWA MWEZI HUU WA APRIL
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO DKT PINDI HAZARA CHANA AKIKABIDHI SABUNI KWA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA MANISPAA YA IRINGA
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU NA BAADHI YA VIONGOZI WA MANISPAA YA IRINGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment