MTANGAZAJI WA UPLANDS FM MAMA NYEUPE PILLY NYENJE WA LUPALE AMEJIPANGA KUBURUDIKA NA WATOTO WA MJINI NJOMBE KATIKA UKUMBI WA DOSMEZA HOTEL KUHAKIKISHA SIKUKUU YA PASAKA INAKWENDA KWA HUZURI KABISA.
PIA MAMA NYEUPE NI MUIMBAJI WA NYIMBO ZA TAARABU VIBAO KAMA SITOMUACHA KAMWE .HAITOSHI NA MC MACHACHARI SANA ANAE SHEREHESHA SHUGHULI MBALI MBALI MJINI
MAMA WA MILINDIMO YA PWANI MAMA NYEUPE
MAMA NYEUPE AKIWA NA DJ KWEST BWANA EUGEN JAMES
No comments:
Post a Comment