KAIMU MHANDSI WA UJENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE BWANA MUSA MWANSHULI
HAPA AKIJIBIA HOJA KUHUSIANA NA UHARIBIFU WA BARABARA KWAMBA ITATENGENEZWA LINI ILI CHAI NA WANANCHI WA LUPEMBE WAWEZE KUSAFIRISHA MALI ZAO IKIWEMO CHAI
GARI LA MKANDARASI WA KULIMA BARABARA YA LUPEMBE KUELEKEA UKALAWA WILAYANI NJOMBE LA KWAMA HAPA WAKATI WA ZIARA YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE KEPTAIN MSTAAFU ASERI MSANGI
MAGARI YA CHAI YASHINDWA KUENDELEA NA SAFARI KWA ZAIDI YA SIKU TISA CHAI YAOZEA POLINI AMBAYO IMEVUNWA
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE VALENCE KABELEGE AKITEMBEA KWA MGUU BAADA YA BARABARA HIYO KUTOPITIKA KWA URAHISI
GARI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE KEPTAIN MSTAAFU ASERI MSANGI IKIPITA KWENYE TOPE LA BARABARA YA LUPEMBE -UKALAWA AKIWA KWENYE ZIARA YAKE YA SIKU TATU
HAPA NI BAADA YA MKUU WA MKOA KUWASILI KATIKA KIJIJI CHA UKALAWA
NGOMA YA ASILI TOKA KANIKELELE LUPEMBE WAKIONESHA BURUDANI
No comments:
Post a Comment