Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Tuesday, March 18, 2014

WANANCHI WA KIJIJI CHA IBIKI WAPEWA HATI MILIKI YA MRADI WA MAJI






 


Zikiwa Zisalia Siku Chache Katika Kuelekea Kilele Cha Maazimisho ya Maji Nchini Mkuu Wa Wilaya Ya Njombe Bi,Sarah Dumba Amewataka Wananchi wa Vijiji Vya Vya Itipingi Na Ibiki Katika Kata Ya Igongolo Kuiendeleza Miradi Ya Maji Iliyotekelezwa Katika Vijiji Hivyo.

Bi Dumba Ametoa Kauli Hiyo Wakati Akikabidhi Cheti Cha Umiliki Wa Mradi Huo Wa Maji Hapo Jana Katika Vijiji Hivyo  Ikiwemo Katiba Kanuni Za Kuuendeshea Mradi Huo Wa Maji Na Kusema Kuwa Kila Mwananchi Anajukumu La Kuchanguia Mradi Wa Maji Ili Kuwa Endelevu na hapa anaeleza.

Aidha Bi Dumba Ambaye Alikuwa Mgeni Rasmi Katika  Ziara Hiyo Iliyofanywa Na Kaimu Mhandisi Wa Maji Katika Halimashauri ya Wilaya ya Njombe Bw,Sengayavene Mkali Moto  Bi Dumba Amewataka Wananachi Wa Vijiji Hivyo Kuchangia Fedha Kwa Ajili Ya Kuendesea Mradi Huo Wa Maji Katika Kijiji Cha Ibiki Chenye Maji Mengi Kuliko Vijiji Vyote Wilayani Njombe.

Katika Hatua Nyingine Kaimu Sengayavene Amesema Kuwa Katika Cheti Hichi Kilichokabidhiwa Kwa Wananchi wa Kijiji Cha Ibiki Amesema Kuwa Kitawapelekea Kuwa Huru Kuyatumia Maji Maji Hayo Kupitia Mradi Huo Wa Maji Uliotekelezwa Katika Cha Ibiki.

Aidha Katika Taarifa Ya KijijiCha Itipingi Imeeleza Kijiji Hicho Kukabiliwa Na Changamoto Ya Wanachi kutokuchangia Fedha Kwa Ajili Ya Mradi Wa Maji Wa Kijiji Hicho Baada Ya Kuonekana Mfuko WEa Maji Wa Kijiji Hicho Ni Shilingi Laki Moja Na Nusu Pekee.

Kwa Upande Wake Mhandisi Wa Maji Katika Halimashauri Ya Wilaya ya   Njombe Amelezea Nia Ya Kukabithi Cheti Hicho Kwa Ajili Ya Watumia Maji Hao Ili Kuwa Huru Katika Matumizi yAao Ya Maji Kwa Majukumu Ya Kila Siku.

Katika Hatua Nyingine Diwani wa Kata Ya Igongolo Bw,Ayubu Mkane Amemweleza Alimweleza Mkuu Wa Wilaya Juu Ya Ushirikiano Wa Wanakijiji Cha Ibiki, Kama Anavyoeleza.
 


No comments:

Post a Comment