Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, February 23, 2013

UZALISHAJI TAKA MJINI NJOMBE WAZIDI KUONGEZEKA VIZIMBA VYA BAKI VIMEJAA KARIBU SIKU ZOTE RICHA YA KUTOLEWA.


Hapa ni nyuma ya kituo cha mabasi Njombe ambapo pamepakana na kituo cha afya Njombe mjini.

 Hapa ni kituo cha maroli mjini Njombe eneo la mtaa wa National Housing  na haya maji machafu yaelekea wapi mvua zikinyesha na wakazi wengi wa mji wa Njombe walia na ukosefu wa maji kinachofanyika wanakwenda kuchota mtoni tutapona?

Taka nyingi za tupwa kwenye vyanzo vya maji na makorongo licha yakuwepo kwa vizimba,na hapa ni Mtaa wa Mgendela mbele ya bonde hilo kuna maji wakazi wanaozunguka eneo hili wanayatumia maji hayo na shimo hili linachukua uchafu wa kila aina.




picha na Michael Ngilangwa



No comments:

Post a Comment