Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, January 26, 2013

BIASHARA YA NDIZI RUNGWE MBEYA YADODA WAWEKEZAJI WAINGIA HADI MASHAMBANI.

HAPA NI KIWIRA KWENYE GULIO LA IJUMAA NDIPO WAKULIMA WANAPOLETA MAZAO YAO HAPA NA KUNUNULIWA NA WALANGUZI TOKA DSM
MZIGO WA NDIZI UNAENDELEA KUPANDISHWA KATIKA MAROLI TAYARI KWA KWENDA DSM KWA UJUMLA MKUNGU MMOJA WA NDIZI HUSAFIRISHWA KWA KATI YA SHILINGI 1OOO MPAKA 1500 KWA KWENDA DSM NA UKIFIKA HUKO HUO MKUNGU WA DIZI HUUZWA KWA SHILINGI 1,5000 MPAKA 25,000 KWAKWELI MKULIMA HAKUNA ANACHOAMBULIA ILA MLANGUZI NDIYE ANAEFAIDI MAZAO HAYO
NDIZI HIZOOOO MKUNGU MMOJA KWA SHILINGI 1000 NA UNAENDA KUUZWA DSM KWA SHILINGI 15,000 DU HII KALI
HAKIKA KWELI CHOMBO CHA MWALIMU FAIDA TUPU MUKULIMA ANAAMBULIA PATUPU
HAPA MPAKA SHILINGI 500 UNAPATA MKUNGU WA NDIZI
HAPA MWANDISHI JOSEPH MWAISANGO AKIBEMBELEZWA ANUNUE MKUNGU WA NDIZI KWA SHILINGI 1000/ NA WANAZIDI KUSHUSHA MPAKA SHILINGI 700/ SIJUI ATANUNUA MKUNGU WA NANI HAPA MAANA KILAMMOJA ANAMSHAWISHI KWA BEI YAKE

No comments:

Post a Comment