KIJANA HUYU ANADAIWA KUTUMIA JINA LA MKUU WA MKOA WA NJOMBE KUTAPELI MABINTI NJOMBE,ASEMA YEYE NI DEREVA WA MKUU WA MKOA WA NJOMBE.
HAPA KIJANA HUYO ANASHUSHWA KWENYE GARI KWAAJILI YA KUINGIA ROKAPU YA NJOMBE MJINI KUJIBU TUHUMA ZINAZOMKABILI.
KIJANA HUYU AMBAYE JINA LAKE HALIKUFAHAMIKA AMEKAMATWA NA ASKALI
POLISI MKOA WA NJOMBE AKIWA NA WADADA WAWILI AMBAO ALIKUWA KWENYE
HARAKATI ZA KUWATAPELI WATOE ELFU NANE ZA FOMU ZA KUOMBEA KAZI KWA KAZI
ZA NDANI KWA MKUU WA MKOA WA NJOMBE ,MAELEZO NI KWAMBA JANA HUYO ALIKUWA
AKIWAMBIA MABINTI HAO KWAMBA AMETUMWA NA MKUU WA MKOA WA NJOMBE KWAMBA
ATAFUTE WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI MABINTI HAO WAKAMUULIZA
WEWE UNAFANYA KAZI KWA MKUU WA MKOA AKASEMA YEYE NDI DREVA WA GARI LA
MKUU WA MKOA NDIPO WALIPO PATA MASHAKA BAADA YA KUMUONA MUONEKANO WAKE
KUWA HUYU SIYO NA KUMTAFUTA MWANDISHI WA HABARI WA MTANDAO HUU NDIPO
ALIPOITA POLISI NA KULIA DOLIA NA HATIMAE KUMKAMATA KIJANA HUYO.
No comments:
Post a Comment