Friday, December 9, 2016
SHIRIKA LA HIGHLANDS HOPE UMBRELLA LA NJOMBE LA ENDESHA MDAHARO KWA WANACHUO CHA AMAN TAWI LA TUMANI CHA IRINGA
MBUNGE WA JIMBO LA NJOMBE MJINI EDWARD FRANZ MWALONGO AKIFUNGUA MDAHALO HUO
WASHIRIKI WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA HOTUBA YA UFUNGUZI WA MDAHALO UNAOFANYWA NA MBUNGE HUYO
MENEJA WA SHIRIKA LA HIGHLANDS HOPE UMBRELA GEOGE SANGA AKIWA KWENYE KOMPYUTA MPAKATO KUANDAA MADA
WAWEZESHAJI WA MDAHALO NAO HAWAKUWA MBALI
MENEJA UPLANDS FM RADIO ELMATHEW KIKA NAYE AMESHIRIKI MDAHALO HUO MWENYE SUTI NYEUSI NA SHATI NYEUPE
HAWA NI WASHIRIKI MBALIMBALI WAKICHANGIA MADA
MENEJA WA SHIRIKA LA HIGHLANDS HOPE UMBRELLA AKIFAFANUA ZAIDI JUU YA MADA,ISEMAYO JITIHADA ZA SERIKALI KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA JE ? JAMII INASHIRIKISHWA IPASAVYO?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment