MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE EDWIN MWANZINGA AKIFUNGUA MKUTANO WA BARAZA HILO
HAWA NI WATALAAMU WA HALMASHAURI WAKIWA KWENYE UKUMBI HUO
MKUU WA WILAYA YA NJOMBE LUTH MSAFIRI AKITOA NASAHA ZAKE KWA MADIWANI NA WATALAAMU WA HALMASHAURI HIYO
DIWANI WA KATA YA RAMADHANI AKIHOJI MASWALI JUU YA 20% KUGAWIWA SAWA KWA KATA ZOTE ZENYE WATU WACHACHE NA WENGI KWAMBA WAMEZINGATIA NINI KUWEKA HIVYO
MKURUGENZI MJI ILUMINATA MWENDA AKITOLEA UFAFANUZI JUU YA ASILIMIA HIYO
DIWANI WA KATA YA NJOMBE MJINI NAE AFUNGUKA JUU YA HOJA HIYO YA ASILIMI 20 KUWA SAWA KWA KATA ZOTE
DIWANI KATA YA MJIMWEMA ALIA NA MADAKTARI WALIOMLAZA MGONJWA KWENYE NYUMBA YA KULALA WAGENI NA KISHA KUFICHWA TAARIFA ZA DAKTARI ALIYEHUSIKA KUWEKWA HADHARANI HUKU BAADHI YA WAJUMBE WA KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII NA AFYA WAKIFAHAMU BILA HATUA KUCHUKULIWA
FILOTEUS MLIGO MWENYEKITI WA KAMATI YA HUDUMA YA JAMII NA AFYA AKIJIBIA MASWALI YALIOULIZWA NA DIWANI WA KATA YA MJIMWEMA ABUU MTAMIKE MAJIBU AMBAYO HAYAKUWARIDHISHA MADIWANI KARIBU WOTE
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE EDWIN MWANZINGA AKIJIBU BAADHI YA MASWALI KWA MADIWANI
No comments:
Post a Comment