Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akimshukuru Dkt. Raymond Mwenesano, Mkuu wa Idara ya Wagonjwa wa nje na
Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili mara baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo na kurejea
nyumbani baada ya kupata nafuu.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akimshukuru Dkt. Edward Ngwalle, Daktari wa Rais mara baada ya
kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo na kurejea nyumbani baada ya kupata
nafuu.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akimshukuru Dkt. Benard Kepha ambaye Daktari Bingwa wa Magonjwa ya
dharura na ajali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada ya
kuruhusiwa kutoka na kurejea nyumbani mara baada ya kupata nafuu. Picha
na IKULU
No comments:
Post a Comment