Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Italia hapa nchini Roberto
Mengoni Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni mara baada ya kupokea Hati zake za
Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni mara baada ya kupokea Hati zake za
Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni akisaini kitabu
kabla ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea hapa nchini Kim Yong Su mara
baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Watu wa Korea hapa nchini Kim Yong Su mara baada ya kupokea
Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Watu wa Korea hapa nchini Kim Yong Su mara baada ya kupokea
Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Somalia
hapa nchini Mohammed Hassan Abdi mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya
kuwasilisha Hati zake za Utambulisho.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi
wa Somalia hapa nchini Mohammed Hassan Abdi mara baada ya kupokea Hati zake za
Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho
kutoka kwa Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock Ikulu jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment