Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Magole wakiwa wamebeba moja ya madawati
waliokabidhiwa na Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara(Chdema) jana jijini Dar
es salaam.
Mbunge
wa Ukonga Mwita Waitara, kulia akisalimiana na Mwanafunzi wa Shule ya
Msingi Kiboga iliyopo Chanika Mvuti Dar es Salaam wakati alipoenda
kukabidhi msaada wa madawati jana
Mbunge
wa Ukonga Mwita Waitara, akizungumza na kina mama wa kikundi cha Kikoba
Cha Mpanga wa Vikoba kilichopo Magole wakati alipokuwa akitembelea
jimbo hilo jana
Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya msingi Magole wakati alipokabidhi msaada wa madawati
Mbunge
wa Ukonga Mwita Waitara akimkabidhi msaada wa mipira Mwalimu wa
Michezo, Emmanuel Zongo wa Shule ya Msingi Magole wakati alipokwenda
kukabidhi msaada wa madawati jana
Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara akizungumza na na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole baada ya kukabidhi madawati jana
Mbunge
wa Ukonga Mwita Waitara(Chadema), akiwafundisha somo la hesabu
wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole baada ya kukabidhi madawati na
vifaa vya michezo
No comments:
Post a Comment