Shekhe
Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar bin Zuberi akizungumza viongozi
wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya viongozi wa Bakwata katika
ukumbi wa Karimjee leo jijini Dar es Salaam.
Shekhe
wa Mkoa s Dar es Salaam,Alhaji Mussa Salum akitoa neno wakati wa
kumkaribisha , Shekhe Mkuu wa Tanzania ,Mufti Abbakari Ally Bin Zuberi
katika semina elekezi ya viongozi wa Bakwata iliyofanyika katika ukumbi
wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya viongozi wa Bakwata wakimskiliza Shekhe Mkuu wa Tanzania , Mufti
Abbakari Ally Bin Zuberi (hayupo pichani) wakati wa semina elekezi ya
viongozi wa Bakwata iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee ,jijini Dar
es Salaam.(picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii)
No comments:
Post a Comment