MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA ARDHI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 YAPITISHWA.
Waziri
wa Ardhi Mhe. William Lukuvi na naibu waziri wake Mhe. Angelina Mabulla
wakifuatilia hoja za wabunge wa mapitio makadirio ya mapato na matumizi
ya wizara ya Aridh kwa mwaka wa fedha 2016/20
Waziri
wa Ardhi Mhe. William Lukuvi akijibu hoja bungeni wakati wa mapitio ya
makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Aridh kwa mwaka wa fedha
2016/2017
Naibu
waziri wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabulla akipongezwa na watendaji wa
Wizara nje ya ukumbi wa bunge baada ya makadirio ya mapato na matumizi
ya wizara kupitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Naibu
Waziri wa Ardhi Mhe. Angelina Mabulla akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Dkt. Yamungu Kayandabila Nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya bajeti ya
Wizara hiyo kupitishwa kwa mwaka wa fedha 2016/2017
Mhe.
William Lukuvi Waziri wa Ardhi na Naibu Waziri Mhe. Angelina wakiwa na
baadhi ya watendaji wa Wizara Nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya makadirio
ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kupitishwa na bunge kwa mwaka wa
fedha 2016/2017.
No comments:
Post a Comment