MAJALIWA AKUTANA NA KAGAME LUSAKA
Waziri
Mkuu, Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul
Kagame kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia
ambako walihudhuria mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei
24, 2016, Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment