Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashilila
akiongea na Viongozi wa Jeshi la Magereza pamoja na SUMA – JKT kwenye
Ofisi za Bunge, Jijini Dar es Salaam kuhusiana na namna walivyojipanga
katika kutekeleza jukumu la utengenezaji wa Madawati ya shule hapa
nchini.
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashilila
akiongoza mazungumzo na Viongozi wa Jeshi la Magereza pamoja na SUMA –
JKT(hawapo pichani).
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP John Casmir Minja(wa kwanza kushoto)
akiwa pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo wakifuatilia kwa
makini mazungumzo na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Thomas Kashilila(hayupo pichani).
No comments:
Post a Comment