Askari
wa kikosi cha kuzuia ghasia katika jeshi la Polisi mkaoni Ruvuma F 5425
PC Emmanuel Nyagoli ( 35), anatafutwa na Jeshi hilo kwa
kosa la kujipatia ajira kwa vyeti vya Kugushi, Na kwasasa hajulikani alipokimbilia. Taarifa zaidi hii hapa RUVUMA TV.
kosa la kujipatia ajira kwa vyeti vya Kugushi, Na kwasasa hajulikani alipokimbilia. Taarifa zaidi hii hapa RUVUMA TV.
No comments:
Post a Comment