MECHI HIYO INARUSHWA MOJA KWA MOJA NA UPLANDS FM RADIO
MECHI HIYO IMEANDALIWA NA SUPER POWER MEDICEN
MGENI RASMI NI AFISA AFYA MKOA WA NJOMBE MATHIAS GAMBISHI
HII NI TIMU YA BODABODA FC WAKIWA PICHA YA PAMOJA
WAAMUZI WA MCHEZO WAKIWA KATIKA PICHA PAMOJA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MPIRA WILAYA YA NJOMBE WAKIWA NA MGENI RASMI
HII NI TIMU YA POLISI FC WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI
SUPER POWER MEDICENE CHUPA HIZO ZINAZOONEKANA
MVUA IMEVURUGHA KILA KITU MECHI YAAHIRISHWA BAADA YA KUCHEZA KIPINDI CHA KWANZA
POLISI FC WAKATI WANATARAJI KUINGIA UWANJANI
No comments:
Post a Comment