Wednesday, January 6, 2016
WAKAZI WA IGEREKE KATA YA NJOMBE MJINI WALALAMIKIA MITARO AMBAYO IMEKUWA MAKORONGO ILIYOACHWA NA MAMKALA YA M,AJI NJOMBE MJINI IKIDAIWA IPO HIVYO KWA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI SASA
HII INAWEZA KUWA HATARI KWA WAKAZI WA ENEO HILO HUSUSANI WATOTO WADOGO WANAPOVUKA MSIMU WA MVUA MAJI YAKIWA MENGI YANAWEZA KUSABABISHA WATOTO KWENDA NA MAJI YA MVUA
MAMLAKA YA MAJI BADO INALALAMIKIWA KWA KUSHINDWA KUFIKISHA MAJI MITAA YA MJINI HARAFU BILI ZA MAJI WAMEPANDISHA BILA MAKUBALIANO NA WADAU WA MAJI KAMA KIKAO CHA AWALI KILIVYOKALIWA NA KUTAKA ISIPANDISHWE HADI WABORESHE HUDUMA YA MAJI NDIPO WAITISHE KIKAO CHA KUKUBALIANA KUONGEZA LAKINI HAKUFANYIKA HIVYO
KWA WAFUGAJI WA NG'OMBE NAO WAMESEMA WANAKERWA SANA NA MITARO HIYO LICHA YAKUWA WANASHIDA YA MAJI LAKINI HAWAFIKISHIWI KWA WAKATI ILA WANAZIDI KUUMIA NG'OMBE WAO WANATUMBUKIA KWENYE MITSRO HIYO NA KULAZIMIKA KUWATOA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment