HAPA NAIBU WAZIRI SULEINMAN SAID JAFO ANAWASILI NA ASKALI WA JESHI LA POLISI WANAMPATIA HESHMA ZAKE
NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS ,TAMISEMI,UTUMISHI NA UTAWALA BORA JAFO YUPO KUSAINI KITABU BAADA YA KUWASILI NJOMBE KATIKA UKUMBI WA WAUGUZI KIBENA
HAWA NI WASHIRIKI MBALIMBALI WAKIWEMO MADIWANI WENYEVITI WA VIJIJI NA WATUMISHI WA HALMASHAURI.
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE ILUMINATA MWENDA AKISAIDIA KUJIBU MASWALI YALIOWAHUSU MADKTARI WA HOSPITALI HIYO NA AFISA MANUNUZI JUU YA MASHINE YA UTRA SOUND KWANINI HOSPITALI KUBWA KAMA HIYO HAINA MASHINE HIYO?
NAIBU WAZIRI JAFO ANAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE AKIWA KATIKA HOSPITALI YA KIBENA NJOMBE
MTAALAMU WA TEHAMA WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE AKIJIBIA KWANINI ZOEZI LA KUTUMIA MFUMO WA KIELECTRONIC HAUJAANZA KUTUMIKA KATIKA HOSPITALI YA KIBENA NJOMBE.
MHANDIS WA UJENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE IBRAHIMU MKANGALA AMBAYE AMEAGIZWA KUWA MAKINI KUSIMAMIA MIUNDOMBINU MBALIMBALI IKIWEMO YA MAJENGO YA NYUMBA ZA SERIKALI.
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE EDWIN MWANZINGA AKITOA NASAHA
PICHYA YA PAMOJA NA NAIBU WAZIRI HUYO SULEINMAN SAID JAFO MWENYE SUTI NA TAI WA TATU KUTOKA KULIA NA PIA WA TATU KUTOKA KUSHOTO
No comments:
Post a Comment