WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI KIGOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kigoma mchana huu, tayari kwa kuanza ziara ya kikazi Mkoani humo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa skafu na vijana wa Chipukizi wa Chama
cha Mapinduzi, Mkoani Kigoma mara baada ya kuwasili.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya
Mkoa wa Kigoma iliyofika kwenye Uwanja wa Ndege kumlaki.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia kikundi cha ngoma cha akina mama wa ujiji Mkoani Kigoma.
Kwaya
ya vijana wa JKT Bulombora 821 wakitumbuiza kwenye uwanja wa ndege
wakati wa mapokezo ya Waziri Mkuu.Picha na Editha Karlo, Globu ya Jamii,
Kigoma.
No comments:
Post a Comment