Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, December 17, 2015

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU JAJI WARIOBA


Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu ,Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo kumbelea Desemba 16, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) .
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu ,Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo kumtebelea Desemba 16, 2015.

No comments:

Post a Comment