Rais
Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma
Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka
rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. kushoto kwake
ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na
watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati akiondoka rasmi katika jumba
hilo waliloishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka
10 iliyopita. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli
Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati
akiondoka rasmi Ikulu alimoishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa miaka 10 iliyopita.
Rais
wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Rais
Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma
Kikwete wakati wakiondoka rasmi Ikulu alimoishi kama Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita.
Wakielekea kwenye helikopta itayowachukua hadi kijijini Msoga
Picha ya pamoja kabla safari ya Msoga kuanza
Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Rais

Kikwete wakati wakiondoka rasmi Ikulu walimoishi kama Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita.
Rais
wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue na Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo na watumishi wa
Ofisi ya Rais wakiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya
Mrisho kikwete
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO

No comments:
Post a Comment