Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akipongezwa na Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi Muda mfupi baada ya
Dkt.Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam leo.Wengine waliomzunguka Rais Magufuli ni
kutoka kushoto Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya,Rais Jacob Zuma wa Afrika ya
Kusini na Rais Joseph Kabila wa DRC.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni akimpongeza Rais Dkt.John Pombe Magufuli kwa kuapishwa kuwa
Rais wa awamu ya Tano Tanzania wakati wa hafla ya chakula cha mchana
iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akiwa amwashikanisha mikono Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Raila Odinga
wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika ikulu jijini Dar es
Salaam jana.wanaoshuhudia tukio hili kutoka kushoto ni Mke wa Rais Uhuru
Kenyatta,Mke wa Rais Mama Janet Magufuli na kulia ni Mke wa Mhe.Raila
Odinga
Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akiwa amwashikanisha mikono Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Raila Odinga
ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya chakula cha mchana
alichoandaa Rais Magufuli kwa heshima ya wageni waliohudhuria sherehe ya
kuapishwa kwake kuwa Rais wa awamu ya tano.
No comments:
Post a Comment