Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Tuesday, September 22, 2015

WAANGUKA KWA UNGO KIJIJI CHA UTIGA WILAYANI WANGING'OMBE


 Watu Wanaodaiwa Kuanguaka Kwa Imani za Kishirikina Wilayani Wanging'ombe Hao Hapo



Picha na Gabriel Kilamlya Njombe

Watu Watatu Ambao Hawajajulikana Majina Yao Jinsi ya Kiume Wamekutwa Wameanguka Katika Kijiji Cha Utiga Wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe Kwa Imani za Kishirikina.

Watu Hao Ambao Hawajafahamika Mara Moja Wanakotoka Wanadaiwa Kuwa Walikuwa Safarini Kuelekea Songea Mkoani Ruvuma Lakini Walipofika Katika Kijiji Hicho Ndipo Walipoanguka.

No comments:

Post a Comment