Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba
Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation -
Mfuko wa Habari Tanzania - TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye
ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu
unachukua nafasi ya Tanzania Media Fund
Mwenyekiti
wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya
bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa LAPF
Millennium Tower jijini Dar es Salaam. .
Mkurugenzi
wa TMF Bw. Ernest Sungura akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria
katika Uzinduzi wa Mfuko wa Habari Tanzania (TMF) uliyofanyika usiku wa
kuamkia leo katika Ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
wa TMF Bw. Ernest Sungura akimpongeza Mkurugenzi wa Shirika la habari
la Daraja Bw. Simon Mkina wakati wakati uzinduzi huo wa Mfuko wa Habari
Tanzania
Mrisho
Mpoto akitumbwiza wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Habari Tanzania (TMF)
iliyofanyika leo katika ukumbi wa Millenium Tower jijjini Dar Es Salaam.
Wajumbe wapya wa Bodi ya TMF katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi huo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mama Sihaba
Nkinga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa Bodi
ya TMF na watendaji wa mfuko huo usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa
LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii







No comments:
Post a Comment