Wasanii
kutoka Rock City Mwanza wanaounda kundi la TANZANIA ONE MUSIC ambapo
kushoto ni D’Maladha, Katikati ni Lady Shushu na Kulia ni Nyasa Boy.
Na:Binagi Media Group
Ukiwataja
wasanii wanaofanya vizuri kutoka Jijini Mwanza, lazima utawataja Nyasa
Boy, D’Maladha pamoja na mwanadada Lady Shushu ambao wanaunda kundi la
Tanzania One Music ambalo tayari linatesa na ngoma mbili sokoni.
Wasanii
hao kupitia kundi hilo, wameweza kuliteka soko la Muziki wa Mwanza
kupitia ngoma zao mbili ambazo ni Nasema Nawe (Bonyeza HAPA Kuitazama) pamoja na Thamani ya Penzi (Tazama Hapo Chini).
No comments:
Post a Comment