Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Mwinyiussi
Hassan Abdalla kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A Unguja katika hafla
iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu.
[Picha zote na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana Mkono wa Shukurani na Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla baada ya kumuaapisha kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika
hafla ya kuapishwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja
iliyofanyika lero Ukumbi wa Ikulu,(kutoka kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Ikului na Utawala Bora,Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji
na Naibu Kadhi Hassan Othman Ngwali.
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya
kuapishwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Nd,Mwinyiussi Hassan
Abdalla,iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kutoka kushoto) Spika wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Ikului na Utawala Bora,Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Khamis Haji na Naibu Kadhi Hassan Othman Ngwali.
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya
kuapishwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Nd,Mwinyiussi Hassan
Abdalla,iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kutoka kulia)Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum Haji Omar Kheir,Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,Meya wa Manispaa ya Mji wa
ZanzibarMr.Khatib na Mshauri wa Rais wa Uwezeshaji wananchi Kiuchumi
Bw.Abrahman Mwinyijumbe.
No comments:
Post a Comment