Mgombea urais wa chama cha ADC, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad, akihutubia katika mkutano huo.
Mgombea
urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bara kupitia Chama cha
Alliance for Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba (katikati),
akimtambulisha mgombea mwenza wake, Said Miraji (kulia), katika mkutano
mkuu wa tatu wa chama hicho uliofanyika Dar es Salaam leo. Kushoto ni
mgombea urais wa chama hicho, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad.
Makamu Mwenyekiti wa ADC, Zanzibar, Faki Hamisi Silima, akizungumza katika mkutano huo.
Mgombea
urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bara kupitia Chama cha
Alliance for Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba (kulia), na
mgombea mwenza wake, Said Miraji, wakiwapungia mkono wanachama wa chama
hicho katika mkutano mkuu huo.
Katibu Mkuu wa chama hicho, Lydia Bendera akimpongeza. Said Miraji kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwenza.
Makada wa chama hicho wakiwa na furaha kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
No comments:
Post a Comment