Mapema
jana Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya
nje ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda nchini
China kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa GEL, Abdulmaliki
Mollel alisema kuwa wanamshukru Mungu kwa kuendelea kuwafungulia milango
ya kuendelea kupokea wanafunzi wanaopenda kusoma vyuo nje ya nchi.Pichani: inawaonyesha wakiwa tayari katika mstari wa kukaguliwa ili waweze kuanza safari yao ya kwenda nchini China kimasomo.
Mwandishi wa Mlimani Tv akifanya mahojiano na mmoja ya wanafunzi anyekwenda kusoma chuo kikuu nchini China.
Mkurugenzi Msaidizi wa GEL, Zakia
kulia akimhoji mwanafunzi endapo anavielelezo vyote vya kusafilia
ikiwemo Passport na nyaraka nyingine za shule.
Mmoja ya wazazi akikagua nyaraka za mwanae kabla hajasafiri.
Mfanyakazi wa GEL, JacquelineMbise akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kuelezea maandalizi yote ya safari.
Wafanyakazi wa GEL, wakijadili jambo.
Wafanyakazi wa GEL, wakiendelea mahojiano na wazazi pamoja na wanafunzi.
Wazazi waliotoka jijini Arusha
wakiwa katika sura ya furaha kwa ajili ya kumuaga Kijana wao ambaye
alikuwa akisafiri kwenda nchini China kwa masomo.

Baadhi
ya wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vya nchini China wakiwa Uwanja wa
ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam kungojea
kuondoka. Wanafunzi hao wanaondoka nchini chini ya usimamizi wa Kampuni
ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi.
Wazazi wakipiga ya kumbukumbu pamoja na mtoto wao.

Wafanyakazi
wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya
nje ya nchi wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kumaliza kazi
yao.









No comments:
Post a Comment