by SOLO MAZALLA on AUGUST 7, 2015
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akitoa hotuba yake juzi usiku wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam.
Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe – Mugisha akiwakilisha mchango wa Sh. milioni 10,800,000/=ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume.
Meneja wa Utafiti kutoka Benki Kuu ya Tanzania, Johnson Nyella akiwakilisha mchango wa Sh. milioni 10 ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Daudi Nassib akiwakilisha mchango wa Sh. milioni tano ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume.
Baadhi wa wadau wakiwa katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akitangaza kiwango cha fedha kilichopatikana.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment