Taatifa iliyoifikia Globu yaTaatifa iliyoifikia Globu Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoani Dodoma, Mariam Mfaki amefariki dunia leo katika Hospitali ya Dodoma, alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa kansa uliokuwa ukimsumbua, familia yake imethibitisha kutokea kwa kifo hicho.Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kadri zitakavyokuwa zikitufikia.
Mungu aiweke Roho yake mahala pema Peponi
-Amin.
No comments:
Post a Comment