Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, June 4, 2015

GARI LA KAMPUNI YA LAFARGE LATUMBUKIA MTONI>>DEREVA ATOKA AKIWA HAI


Gari dogo  la kampuni ya Cement ya Lafarge likiwa ndani ya mto sisimba mita chache kutoka stendi kuu ya mabasi jijini mbeya ambapo inadaiwa kuwa dereva wa gari hilo alikuwa katika harakati za kukwepa mabasi yanayokwenda mikoani na kutumbukia mtoni june 3 mwaka huu majira ya saa 12 asubuhi.picha E.Madafa






Kwa hisani ya jamii moja blog

No comments:

Post a Comment