MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA KUHUSU WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA HATARI
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua
Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na
Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la
Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb.
18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha Vitabu
vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria
ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, baada ya kuzindua rasmi vitabu hivyo wakati wa
ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira
hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif
Rashid (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi
Waziri wa Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, Vitabu vya
Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya
Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu
Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s
Salaam, Said Meck Sadik na Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii, Dkt. Seif Rashid.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Naibu
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma,
Hawa Ghasia, Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira
Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa
Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi,
lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam, Said Meck Sadik na Kulia kwa
Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria, Ummy Mwalimu, Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za
Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka
2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika
mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam, Said Meck
Sadik na Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif
Rashid.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na
mwanafunzi, Zulfa Said, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu
Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza wakati akifungua rasmi Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio
katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Baadhi ya
wanafunzi waliowawakilisha wanafunzi wenzao katika Kongamano hilo, wakifuatilia
kwa makini matukio yaliyokuwa yakiendelea ukumbni hapo.
Msanii wa muziki
wa kizazi kipya, Banana Zorro (kulia) na msanii wa maigizo, Angelina Leonard,
na baadhi ya washiriki katika Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais
wakati akihutubia.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika picha ya pamoja na
wanafunzi walioshiriki Kongamano hilo, baada ya ufunguzi.











No comments:
Post a Comment