Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Friday, October 3, 2014

WATUHUMIWA 12 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUPATIKANA NA SILAHA AINA YA BASTOLA NA MALIMBALIMBALI MKOANI NJOMBE




KAMANDA WA JESHI LA POLISI AKITOKA KWENYE UKUMBI WA POLISI NJOMBE

 SACP FULGENCE NGONYANI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NA WAMILIKI WA MALI WALIOFIKA KUTAMBUA MALI KATIKA OFISI ZA JESHI HILO
 

 SACP FULGENCE NGONYANI AKIWA OFISINI KWAKE











 JOSHUWA MWALONGO AKIWA NA MWENZAKE  SALMU HONGORI ALIYEVAA SWETA LA POLISI WAKIWA WAMETIWA MBALONI KWA MAKOSA HAYO











 HIZI NI MALI WALIZOKUTWA NAZO WATUHUMIWA MBALIMBALI WALIOKAMATWA KWENYE MSAKO WA JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE WA KUWASAKA WAHARIFU




 WANANCHI WALIOKUTWA NA MATATIZO YA KUIBIWA MALI ZAO WAMEFIKA KATIKA OFISI ZA POLISI MKOA WA NJOMBE KUBAINI MALIZI ZILIZOPO












 HIVI NI VITU VILIVYOIBIWA MAENEO MBALIMBALI NA SASA VIKIWA KITUONI HAPO NA WANANCHI BADO WANARUHUSIWA KUENDELEA KWENDA KUTAMBUA MALI ZAO





HAWA NI WANANCHI WALIOFIKA KUTAMBUA MALI HIZO
Na Michael Ngilangwa-Njombe

Jeshi La Polisi Mkoa Wa Njombe Linawashikilia Watu 12  Wanaosadikika Kuwa Ni

Majambazi  Sugu  Wa Kutumia Silaha Ambao Wamekamatwa Katika Oparesheni

Iliyofanyika Kwa Kipindi  Cha  Siku Mbili Mnamo Octoba 1 Na 2 Mwaka Huu  Katika

Maeneo Mbalimbali Ya Mkoa Wa  Njombe.

Akizungumza Na Waandishi Wa Habari Pamoja Na Wamiliki Wa Mali Mbalimbali 
Zilizokamatwa  Kwenye Msako Huo Kamanda Wa Jeshi La Polisi Mkoa Wa Njombe SACP 
Fulgence Ngonyani  Amesema Kuwa Watuhumiwa Hao 12 Sugu  Wamekamatwa Kwa

Makosa  Mbalimbali Ikiwemo Uvunjaji,Kupatikana Na Silaha,Kucheza Kamali,Wizi Wa

Mifugo Na  Kukutwa Na Mali Mbalimbali  Ambazo Zinadhaniwa Ni Za Wizi.

Kamanda Ngonyani Amewataja Watuhumiwa Wanne Waliokamatwa Na Silaha  Aina Ya

Bastola  Iliyotengenezwa Kyenyeji Na Risasi Mbili Za Bunduki aina ya Short Gun  Na Wizi

Wa Mifugo Kuwa Ni Pamoja  Na  Shukrani Lugenge Mweye Umri Wa Miaka 42 ,Abdul

Kaduma Mwenye Miaka 38  ,Rashidi mguruni  Mwenye Miaka 28  Na Gervas Muhuti

Mwenye Umri Wa Miaka 50   Wakazi  Wa  Katenge Na Maguvani Katika Halmashauri Ya

Mji Wa Makambako Mkoani Njombe.

SACP  Ngonyani Amesema  Watuhumiwa Wengine Waliokamatwa Na Mali Za 
Wizi  Ni Pamoja Na   Salmu Hongori Mkazi Wa Mgendela,Peter Matola Na,Joshuwa

Mwalongo Wakazi Wa Mjimwema,Eva Kawogo Mkazi Wa 
Nationalhousing ,Issa Shaban Mkazi Wa Uzunguni, Emili Mwalongo Mkazi Wa 
Nazareth,Peter Luiva Mkazi Wa National Housing Na Salumu Kawogo Wote Wakazi Wa 
Njombe Mjini.

Aidha Kamanda Ngonyani Amesema Kuwa  Watuhumiwa Hao Wote Watafikishwa 
Mahakamani Kujibu Tuhuma Zinazowakabili Ambapo Ametoa Wito Kwa Wananchi 
Waliowahi Kuibiwa Kufika Katika Ofisi Za Jeshi La Polisi Mkoa Wa Njombe Ili Kuweza 
Kutambua Mali Zao.

Wakizungumza Badhi Ya Wamiliki Waliofika Katika Ofisi Za Jeshi La Polisi Mkoa Wa

Njombe  Kutambua Mali Walizowahi Kuibiwa Wamepongeza Jeshi Hilo Kwa Hatua Hiyo

Walioifanya Ya  Kuwakamata Waharifu Na Mali Hizo Ambapo Wameomba Kuendelea Na

Kazi Hiyo Ili Kuweka  Usalama Wa Mali Za Raia Huku Wengene Wakishindwa Kuziona

Mali Zao Walizo Wahi Kuibiwa  Na Wengeine Wakifanikiwa Kuzitambua.

Zaidi Ya Mali 20 Zilizowahi Kuibiwa  Kwa Wananchi  Wa Maeneo Mbalimbali Mkoani 
Njombe Zimepatikana Baada Ya Msako Mkali Ulioendeshwa Na Jeshi Hilo Zikiwemo

Silaha  Aina Ya Bastola Na Risasi Za Bunduki aina ya Shorti Gun Ambapo Msako Huo

Bado Unaendelea Kuwabaini  Majambazi Sugu Wengine Waliofanikiwa Kutoroka.

No comments:

Post a Comment