Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Sunday, October 5, 2014

Maafali ya 36 ya NBAA yafana

 Baadhi ya wahitimu wa NBAA wakiwa katika maandamano ya kitaaluma wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata Degrii ya juu ya uhasibu (CPA) na wahitimu 82 walitunukiwa cheti cha utunzaji wa hesabu (ATEC.)
 Mkurugenzi wa Bodi ya NBAA Bw. Pius Maneno akitoa hotuba fupi kabla yakumkaribisha mgeni rasmi wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana.
 Mgeni rasmi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda  Mhe. Janeth Mbene akiongea na wahitimu (hawapo pichani) wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana.
 Baadhi ya wahitimu wa NBAA wakifuatili kwa makini matukio yaliyokua yakiendelea wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata CPA na wahitimu 82 walipata cheti cha utunzaji wa hesabu.
Kikundi cha ngoma kutoka JKT Mbweni kikitumbuiza wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana.
Picha na: Genofeva Matemu - Maelezo.

No comments:

Post a Comment