Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Tuesday, October 7, 2014

HALMASHAURI YA JIJI MMELIONA HILI KATA YA FOREST? MAANA HAKUFAI TAKATAKA NA MAJITAKA YANATIRIRIKA MITAANI


Haya ni maeneo ya forest ya zamani jirani na shule ya ST. Franssic au jirani na hoteli ya Grand Palm  kwa ujumla hakufai hizi taka sasa takribani zaidi ya mwezi sasa zipo hapo na zinaendelea kujaa je wahusika mpoo? 


Moja ya walemavu wa akili akiokota chakula eneo hilo 

Ni hatari kwa watoto na kwa wale wenye ulemavu wa akili maana taka hizo ninanuka sana



Kero nyingine  mitaa hiyo hiyo ya forest ni majitaka yanayotiririka toka kwenye nyumba na kuingia mtaani huku wahusika wakipota hapo bila ya kuchukua hatua yeyote  jamani mwabwana afya mpoooo?

Maji taka hayooo yanaendelea na safari ya kuchafua mtaaa 

Safari inaendelea na huku harufu mtaa mzima




Na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment